Ma Ndae

Umekuwa ukichaga tu chums na unataka kubuy ndae, tuseme unataka kitu iko na kijiko lakini hajui uta zipimanisha aje jili kila mmoja hu come ikisema vile hiyo ndiyo mwisho ya mawazo enda hapa alafu upimanishe ndae zile unataka utaweza kujua gani ikona nguvu za farasi nyingi kuliko ingine.  Lakini kama kile unajiskia nayo ni ndae inatumia ngata ya ngovo kwa wiki we enda tu showroom uwashow wa kuge ile ndae iko na kama mahinya za farasi wa bwegz na utakuwa poa.

Hii post enyewe nimeichapa jili ya gerisha mjamo ambaye amekuwa akini kumbusha pia mimi niwakilishe lugha ya taifa najua hii sheng ya mine imechapa lakini ni miaka kiasi tangu nibonge sheng siku mzima.

Niliwai kamusi ful
ani ya sheng enda ujikumbushe lugha ya taifa

2 Replies to “Ma Ndae”

  1. Mapropu dadii. Hata kama ni miaka kiasi bado hujailostisha hiyo sheng. Wakilisha zaidi. Wacha niendelee kumaso hiyo stori ya mandae na mafarasi bwegz.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *